• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waafrika waweka historia Ligi Kuu Uingereza

    (GMT+08:00) 2019-05-13 10:10:28
    Kwa mara ya kwanza katika historia ya soka ligi kuu Uingereza (EPL), Waafrika watatu kwa pamoja wanashinda tuzo ya mfungaji bora. Mohamed Salah wa Liverpool raia wa Misri, Pierre-Emerick Aubameyang wa Arsenal ambaye ni raia wa Gabon na Saido Mane anayekipiga klabu ya Liverpool raia wa Senegal wamemaliza wakiwa na magoli 22 kila mmoja.

    Rekodi nyingine iliyowekwa msimu huu ni kwa klabu ya Liverpool kutoa wachezaji wawili kuwa wafungaji bora, Salah na Mane.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako