• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa alaani vikali shambulizi dhidi ya kanisa nchini Bukina Faso

    (GMT+08:00) 2019-05-13 18:49:44

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres amelaani vikali shambulizi dhidi ya kanisa ya Katoliki kaskazini mwa Bukina Faso.

    Bw. Guterres ametoa salamu za rambirambi kwa wafiwa na kusema anatarajia washukiwa wa shambuliz hilo watakamatwa na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria haraka.

    Habari zinasema, wapiganaji kadhaa waliingia kwenye kanisa ya wilaya ya Dablo, jimboni Sanmentenga na kuwapiga risasi watu na kusababisha vifo vya watu 6.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako