• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kufanya mazungumzo kati ya ustaarabu tofauti ni uhakikisho muhimu wa kuishi kwa amani kwa nchi mbalimbali duniani

    (GMT+08:00) 2019-05-13 20:11:44

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang leo hapa Beijing amesema, kuheshimu anuwai ya ustaarabu ni msingi muhimu wa kulinda amani na masikilizano ya dunia, na kufanya mazungumzo kati ya ustaarabu tofauti ni uhakikisho muhimu wa kuishi kwa amani kwa nchi mbalimbali.

    Amesema, China inapenda kupitia mazungumzo ya ustaarabu ya Asia, kuonyesha sura ya ustaarabu ya Asia, kuhimiza maingiliano kati ya ustaarabu tofauti, na kuhimiza ushirikiano wa kirafiki kati ya nchi tofauti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako