• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Tanzania Bara (TPL)- Simba SC yalazimishwa sare na Azam FC

    (GMT+08:00) 2019-05-14 09:01:58
    Dakika 90 za mchezo kati ya Simba na Azam zilimalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana.

    Mbali na ushindani uliokuwa katika mchezo huo, vita kali ilikuwa baina ya beki wa Azam FC Aggrey Morris aliweza kumkaba vilivyo mshambuliaji wa kimataifa wa Simba raia wa Rwanda Meddie Kagere.

    Ligi hiyo inaendelea leo kwa mchezo kati ya Yanga na Ruvu Shooting, Yanga ikishinda mchezo wa leo itawashusha watani wao wa jasi Simba kutoka kileleni mwa ligi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako