• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu ya kikapu Rwanda- Patriots yaikalisha REG

    (GMT+08:00) 2019-05-14 09:03:52
    Kocha mkuu wa timu ya mpira wa kikapu ya Patriots amewapongeza wachezaji wake kwa kufuata kile anachowaagiza kufanya uwanjani na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa alama 74 kwa 65 dhidi ya timu ya nishati (REG) katika mchezo wa ligi kuu ya kikapu nchini Rwanda.

    Licha ya ushindi huo, Patriots imebakia katika nafasi ya pili ikiwa na alama 28 na mchezo mmoja mkononi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako