• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: serikali imesimamisha imesimamisha leseni na usajili wa makampuni zinazosafirisha wafanyikazi

    (GMT+08:00) 2019-05-14 19:51:09
    Serikali ya Uganda imesimamisha leseni na usajili wa makampuni zinazosafirisha wafanyikazi nje ya nchi kuruhusu uchunguzi juu ya madai ya unyanyasaji na mateso.

    Mamlaka katika Wizara ya Kazi ya Jinsia na Maendeleo ya Jamii imethibitisha kusimamishwa kwa leseni na usajili.

    Kuna imejitokeza ripoti kwamba baadhi ya viongozi wanashirikiana na kampuni hizo kuendeleza uhalifu, kwa safirisha wasichana wenye umri wa chini bila ukaguzi wa matibabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako