• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya;Watalaamu wametabiri ongezeko zaidi la bei ya mafuta.

    (GMT+08:00) 2019-05-14 19:52:01
    Kunaweza kuwa na uhaba wa mafuta nchini kote leo kutokana na wachuuzi wa mafuta kufungiia mafuta wa kisubiri bei mpya ya mafuta ya kila mwezi.

    Watalaamu wametabiri ongezeko zaidi la bei ya mafuta.

    Vituo kadhaa vya mafuta mjini Nairobi jana vilisema vinashhudia upungufu wa mafuta.

    Hata hivyo, Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Mafuta (EPRA) iliondoa hofu ya uhaba wa mafuta nchini, akiongeza kuwa hakuna kesi za ufunguaji mafuta zimeandikishwa.

    Takwimu hizo zinasema kuwa lita moja ya dizeli itapanda na Sh2.75 nakufikia Sh104.82, mafuta ya taa itaongezeka kwa Sh2.77 na petroli super iliongezeka Sh6.42 kuuza Sh113.03 kuanzia usiku wa manane.

    Mdhibiti iliongeza mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa Sh5.25, Sh5.52 na Sh2.76 kwa mtiririko huo kutokana na gharama kubwa za kuagiza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako