• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Guardiola kupatiwa fungu la usajili majira ya kiangazi

    (GMT+08:00) 2019-05-15 09:20:45
    Klabu ya Manchester City ambao ni mabingwa wa dunia msimu 2018/19 imepanga kutumia Pauni 200 milioni kwa usajili majira ya kiangazi.

    Kocha wa timu hiyo Pep Guardiola anataka kujenga kikosi imara na tayari ana orodha ya nyota wane anaowataka kwa ajili ya msimu uajo wa ligi.

    Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari, Guardiola alibainisha kwamba, anataka beki, viungo wawili na mshambuliaji ambao anaamini watakuwa chachu ya mafanikio ya klabu hiyo msimu ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako