• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fainali ya nne Kanda ya Magharibi: Raptors uso kwa uso na Bucks, Blazers kukutana na Golden State

    (GMT+08:00) 2019-05-15 09:21:06
    Baada ya kufuzu kucheza fainali za ligi ya mpira wa kikapu ya Marekani (NBA) Kanda ya Mashariki na kuibuka na ushindi wa alama 92-90 dhidi ya Philadephia Lakers kwenye mchezo mkali wa saba wa nusu fainali za kanda ya Mashariki.

    Leo Toronto Raptors itavaana na Milwaukee Bucks, inayopewa nafasi kubwa katika mechi hiyo.

    Katika mechi zinginye za fainali za kanda, Portland Trail Blazers imeshinda mchezo wa saba dhidi ya Denver Nuggets kwa alama 100-96, na kukata tiketi ya kucheza fainali za kanda ya magharibi dhidi ya mabingwa wa NBA Golden State Warriors.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako