• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Migne kutaja kikosi cha Harambee Stars tayari kwa AFCON

    (GMT+08:00) 2019-05-15 09:21:27
    wakati siku zikizidi kujongea kuelekea michuano ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON 2019) itakayopigwa nchini Misri mwezi ujao, kocha wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars jana ametangaza kiksi cha wachezaji kitakachopeperusha bendera ya nchi hiyo.

    Harambee Stars inarejea katika michuano hii baada ya kuikosa mara kadhaa, itaondoka Mei 31 kwenda Ufaransa kuweka kambi ya kujifua, wakiwa jijini Paris, watamenyana na Madagascar Juni 7 na Gambia Juni 15 michezo ya kirafiki.

    Katika michuano hiyo ya AFCON, Kenya ambayo inajivunia mchezaji wake Victor Wanyama anayekipiga klabu ya Tottenham Hotspur ya Uingereza itakutana na Algeria Juni 23, kasha itavaana na wenyeweji wao Tanzania Juni 27 kabla ya kukutana na Senegal Julai 1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako