• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Putin na Pompeo waeleza utayari wa kurudisha uhusiano kati ya nchi zao

    (GMT+08:00) 2019-05-15 09:34:16

    Rais Vladimir Putin wa Russia na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo ambaye yuko ziarani nchini Russia, wamesema nchi hizo zao ziko tayari kurekebisha uhusiano na kujenga ushirikiano. Rais Putin amesema amefurahia na mazungumzo yake kwa njia ya simu na mwenzake wa Marekani Donald Trump, ambaye alieleza nia ya kurekebisha uhusiano kati ya Marekani na Russia. na kutatua masuala yenye maslahi ya pamoja. Rais Putin amemwambia Bw. Pompeo kuwa sasa mazingira yanayohitajika yameandaliwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako