• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ustaarabu wa Asia wakua na kupata maendeleo katika kuingiana na kufundishana kati yake na ustaarabu wa nchi mbalimbali duniani

    (GMT+08:00) 2019-05-15 11:25:00

    Rais Xi Jinping wa China amesema Asia inatakiwa kuimarisha imani yake juu ya ustaarabu wake, kushikilia kuingiliana na kufundishana na ustaarabu wa nchi nyingine duniani, ili kuendelee kuandika ukurasa wa kung'ara wa ustaarabu mpya wa Asia.

    Amesema, hivi sasa ustaarabu wa Asia umekua vizuri na kupata maendeleo ndani ya bara la Asia na katika kuingiliana na kufundishana kati yake na ustaarabu wa nchi mbalimbali duniani, hali ambayo imetoa machaguo mengi kwa ustaarabu wa dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako