• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi asisitiza nchi ikijifungia kwa ustaarabu hakika itadidimia na kudhoofika

    (GMT+08:00) 2019-05-15 12:03:02

    Rais Xi Jinping wa China ametoa wito wa kuzitaka nchi mbalimbali zivunje vizuizi kwenye mawasiliano ya utamaduni kutokana na moyo wenye ushirikishi, kujifunza kutoka kwa ustaarabu mwingine kwa msimamo wazi. Pia ameeleza kuwa China inapenda kuimarisha mawasiliano na vijana, makundi ya umma, makundi yasiyo ya kiserikali na waandishi wa habari, ili kujenga mtandao wa mawasiliano na ushirikiano kati ya washauri mabingwa, kuvumbua mfumo mpya wa ushirikiano, kuhimiza ushirikiano wa aina mbalimbali upate maendeleo makubwa, na kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya kuingiliana na kufundishana kwa ustaarabu wa Asia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako