• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atoa mapendekezo manne katika kuimarisha msingi wa utamaduni

    (GMT+08:00) 2019-05-15 12:04:21

    Rais Xi Jinping wa China ametoa wito wa kuzitaka nchi, makabila na tamaduni tofauti duniani kuimarisha mawasiliano na kufundishana, ili kujenga vizuri msingi wa utamaduni wa kujenga kwa pamoja Jumuiya ya Asia yenye mustakabali wa pamoja, na Jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja. Amesisitiza kuwa tamaduni zinawasiliana kutokana aina anuani, kunufaishana kutokana na kuwasiliana, na kupata maendeleo kutokana na kufundishana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako