• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi mbalimbali za Asia zinatakiwa kuyafanya matarajio ya wananchi juu ya maisha bora yawe hali halisi

    (GMT+08:00) 2019-05-15 12:22:54

    Rais Xi Jinping leo amesema, nchi mbalimbali za Asia zilikuwa na historia zinazofanana, na zina ndoto na utafutaji sawasawa, hivyo tunatakiwa kujitahidi kuyafanya matarajio ya wananchi wa Asia juu ya maisha bora kuwa hali halisi.

    Rais Xi anaona watu wa Asia wanatarajia Bara la Asia liwe na amani, utulivu, ustawi wa pamoja, la kufungua mlango na kuungana, Anazita nchi mbalibmali za Asia ziheshimiane, kuaminiana, kuishi pamoja kwa amani, na kuhimiza kwa pamoja utandawazi wa uchumi dunia ni uwe wazi, kunufaishana, kuwa na uwiano na kupata maendeleo kwa pamoja, kuondoa umaskini na hali ya nyuma kimaendeleo katika baadhi ya nchi, na kujenga maisha mazuri kwa watoto.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako