• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Bei ya mafuta yapanda

    (GMT+08:00) 2019-05-15 17:22:11
    Gharama ya maisha inatarajiwa kupanda hata zaidi kufuatia bei za mafuta kupanda kwa kati ya shilingi mbili na shilingi tano. Mamlaka ya kudhibiti kawi nchini inasema mafuta ya petroli kuanzia usiku wa jana yatauzwa kwa shilingi 5 na senti 43 zaidi huku yale ya mafuta taa na diseli yakiuzwa kwa shilingi 2 na seti 40 na shilingi 2 na senti 24 mtawalia. Kupanda kwa bei ya mafuta kutaathiri maisha ya wakenya wengi kwa namna nyingi. Mojawapo ni kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu pamoja na nauli.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako