• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: URA yatoa makataa kwa wamiliki wa bidhaa

    (GMT+08:00) 2019-05-15 17:23:00
    Mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini Uganda URA, imetoa makataa ya siku 30 kwa wafanyibiashara na kampuni kuchukuwa bidhaa zao na kulipia ushuru la sivyo zipigwe mnada. Agizo hili limetolewa hii leo na mamlaka hayo na kusema kwamba kampuni yoyote au mfanyibiashara yeyote mwenye mzigo bandarini, alipe ushuru, faini au pesa zozote zinazohitajika.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako