• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la Ulaya na Afrika kuhusu dawa za jadi laanza Lisbon

    (GMT+08:00) 2019-05-16 08:57:47

    Kongamano la Maendeleo ya Kimataifa ya Dawa za Jadi kwa mwaka 2019 kati ya Ulaya na Afrika limeanza mjini Lisbon, na kuangalia nafasi ya wataalamu vijana wa dawa za jadi za kichina na kuhimiza matumizi ya dawa hizo kwenye nchi zinazotumia lugha ya Kireno. Balozi wa China nchini Ureno Cai Run amesema kwenye hotuba yake ya ufunguzi kuwa matumizi ya dawa za jadi za kichina yameongezeka kwa kasi nchini Ureno kutokana na sheria kuhusu dawa hizo nchini humo. Amesema China na Ureno zimeanza ushirikiano katika maeneo ya dawa hizo, kutoka kujenga nidhamu, utafiti wa kisayansi hadi ushirikiano kati ya shule na kuandaa wataalamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako