• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa UN-GA atoa wito wa ushirikiano wa kimataifa ili kuhakikisha soko la bidhaa lenye haki

  (GMT+08:00) 2019-05-16 08:58:37

  Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Bibi Maria Espinosa ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuimarisha mfumo wa pande nyingi ili kuhakikisha soko la kimataifa la bidhaa lenye haki na linalotabirika. Bibi Espinosa amesema hayo kwenye mazungumzo yasiyo rasmi ya maingiliano kuhusu masoko ya bidhaa yaliyofanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York. Amesema mfumo imara wa biashara wa pande nyingi unahitajika ili kuhimiza ushiriki wa nchi zinazoendelea katika muundo wa biashara wa kimataifa usiokosa uwiano na haki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako