• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: "Tatizo nililoliacha Manchester United bado halijaondoka"- Mourinho

    (GMT+08:00) 2019-05-16 09:37:07

    Kocha wa zamani wa kikosi cha Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa bado tatizo aliloliacha kwenye kikosi hicho limebaki na halijapatiwa ufumbuzi.

    United walimtimua Mourinho kabla ya kumaliza msimu na wameishia kushinda michezo miwili kati ya 12 ambayo wameicheza mwishoni mwa ligi ya Uingereza hali iliyowafanya washindwe kukata tiketi ya kushiriki ligi ya mabingwa msimu ujao.

    Michezo yote hiyo walikuwa chini ya meneja, Ole Gunnar Solskjaer na Mourinho amesisitiza kwamba bado hawakuondoa tatizo ndani ya kikosi hicho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako