• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • GOFU: Maveterani bado wamo, waonyesha viwango

  (GMT+08:00) 2019-05-16 09:37:31

  Jambo zuri katika mchezo wa gofu ni kwamba umri hauna ukomo, wachezaji wa zamani wa timu ya taifa ya gofu ya Uganda wameonyesha kuwa bado wamo katika mchezo huo baada ya kushinda michezo yao yote kwenye mashindano ya gofu ya Mbarara.

  Maveterani hao 85 wakiongozwa na Dkt. Bernard Maniraguha ambaye ndio ameibuka kinara wa kufunga amejinyakuliwa alama 34.

  Mashindano hayo yamehusisha kaunti za nchini humo huku wacheza gofu waliokidhi vigezo vya kushiriki ni kuanzia miaka 55 na kuendelea.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako