• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yasema imejiandaa kijeshi kukabiliana na tishio kutoka nchi za nje

    (GMT+08:00) 2019-05-16 19:39:47

    Waziri wa ulinzi wa taifa wa Iran Bw. Amir Khatami amesema, jeshi la nchi hiyo limejiandaa kwa pande zote kukabiliana na tishio kutoka nchi za nje.

    Bw. Khatami amesema, jeshi la nchi hiyo limejizatiti na liko tayari kukabiliana na matishio yote. Ingawa Marekani iliiwekea Iran vikwazo vya pande zote, lakini Iran imepata mafanikio makubwa katika sekta ya ulinzi, na kusema iliendelea kuhimiza miradi ya ulinzi wa taifa kwa ajili ya kuimarisha nguvu ya ulinzi wa taifa. Pia amesema, kiwango cha miradi ya sayansi na teknolojia ya ulinzi wa taifa ya Iran katika mwaka 2019 ni mara tatu kuliko mwaka 2018.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako