• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atuma barua ya pongezi katika Mkutano wa Kimataifa wa Akili Bandia

    (GMT+08:00) 2019-05-16 19:42:26

    Rais Xi Jinping wa China ametuma barua ya pongezi ya kufunguliwa kwa Mkutano wa Kimataifa wa Akili Bandia ulioanza leo katika manispaa ya Tianjin.

    Katika barua hiyo, rais Xi amesema China imeweka umuhimu mkubwa katika maendeleo ya uvumbuzi na kuchukulia kizazi kipya cha akili bandia kama nguvu ya msukumo kwa ajili ya maendeleo ya sayansi na teknolojia, viwanda, na kuongeza ubora na pia uzalishaji, ikilenga kutimiza maendeleo yenye ubora wa juu.

    Rais Xi ameeleza matarajio yake kuwa, washiriki wa mkutano huo watabadilishana maoni zaidi, kuboresha maafikiano na kuimarisha ushirikiano ili kuinua maendeleo mazuri ya kizazi kipya cha akili bandia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako