• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Michuano ya kombe la shirikisho- Klabu 8 kuchuana ili kufuzu Shirikisho Afrika

    (GMT+08:00) 2019-05-17 09:54:05

    Michuano ya kombe la shirikisho la soka la DRC kuanza kutimua vumbi Mei 25 hadi 29 mwaka huu mjini Kinshasa. Bingwa wa michuano hiyo ataiwakilisha DRC kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika (CAF).

    Jumla ya timu nane zitachuana kusaka tiketi hiyo ya kufuzu michuano hiyo ya pili kwa ukubwa barani Afrika, robo fainali ya michuano hiyo imepangwa kupigwa Mei 25, huku nusu fainali itachezwa Mei 27 na fainali itakuwa Mei 29.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako