• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Trump atangaza mpango wa mageuzi ya uhamiaji

    (GMT+08:00) 2019-05-17 10:36:22

    Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza mpango wa mageuzi ya mfumo wa uhamiaji wa nchi hiyo, yanayolenga kuwapendelea wahamiaji wenye ujuzi wa hali ya juu na kuzuia uhamiaji unaotokana na uhusiano wa kifamilia. Akizungumza kwenye Ikulu ya Marekani, rais Trump amesema anataka kuanzisha mfumo wa uhamiaji wenye haki, wa kisasa na kufuata sheria nchini Marekani. Pia amesema mabadiliko makubwa wanayofanya ni kuongeza idadi ya wahamiaji wenye ujuzi wa hali ya juu kutoka asilimia 12 hadi 57 ili kuifanya Marekani iwe na nguvu kubwa ya ushindani duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako