• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuchunguza athari zinazowezekana kutokea kutokana na Marekani kuongeza ushuru

    (GMT+08:00) 2019-05-17 17:22:09

    Msemaji wa kamati ya maendeleo na mageuzi ya China Bibi Meng Wei leo hapa Beijing amesema, athari ya mgogoro wa kibiashara kati ya China na Marekani kwa uchumi wa China inadhibitiwa kwa ujumla. Amesema China itachunguza vya kutosha athari zinazoweza kutokea kutokana na Marekani kuongeza ushuru na kuchukua hatua za kujibu kwa wakati, ili kuhakikisha uchumi wa China unaendelezwa ndani ya kiwango kinachofaa. Bibi Meng Wei amesema,

    "Ingawa mgogoro wa kibiashara kati ya China na Marekani umeathiri maendeleo ya uchumi wa China, lakini athari hiyo inaweza kudhibitiwa kwa ujumla. Imani ya makampuni imetulia, matarajio sokoni yanaendana na hali halisi zaidi, sera na hatua zinazowekwa na serikali kuu ni zenye nguvu na ufanisi, uwezo wa kukabiliana athari kutoka nje umeimarika. Tunaweza kusema, uchumi wa China umeonyesha unyumbufu wa kutosha, nguvu na uhai mkubwa."

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako