• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda imejikita kuwa na uhusiano mzuri na Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-05-18 17:19:27

    Waziri wa mambo ye nje wa Uganda Bw. Sam Kutesa, amesema Uganda iko makini kwenye kuishi pamoja na jirani yake Rwanda, licha ya kutokea mivutano katika siku za karibuni, na anaamini kuwa tofauti hizo zitaondolewa hivi karibuni.

    Bw. Kutesa amesema Uganda inafanya kazi nyuma ya pazia kuboresha uhusiano wake na Rwanda. Amesema yeye mwenyewe amefanya mazungumzo ya mara kwa mara na mwenzake wa Rwanda Bw. Richard Sezibira, na hata amefanya ziara nchini Rwanda akiwa mjumbe maalum wa Rais Yoweri Museveni. Bw. Kutesa amesema Rwanda imekuwa ikiishutumu Uganda kuwa inanyanyasa raia wake, lakini amesema sio kweli.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako