• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mlipuko wa roketi watokea katikati ya Baghdad

    (GMT+08:00) 2019-05-20 08:43:45

    Msemaji wa Kamandi ya operesheni za pamoja ya Iraq Yahya Rasoul amesema roketi aina ya Katyusha ilirushwa dhidi ya eneo la wazi karibu na ubalozi wa Marekani, katikati mwa Baghdad, Iraq, lakini haikusababisha vifo ama majeruhi yoyote. Kwa mujibu wa ofisa mwingine wa usalama ambaye hakutaka jina lake kutajwa, vikosi vya usalama vimegundua kifaa cha kurushia roketi katika eneo la Baladiyat, mashariki mwa mji huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako