• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi za GCC na Marekani zaanza doria za usalama katika bahari ya Ghuba ya Uajemi

    (GMT+08:00) 2019-05-20 08:44:06

    Kamandi kuu ya jeshi la majini la Marekani imesema nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba GCC zimeanza kuimarisha doria za kiusalama katika bahari ya kimataifa ya eneo hilo kwa lengo la kuongeza mawasiliano na uratibu kati ya Marekani na nchi za GCC, ili kuunga mkono ushirikiano wa majeshi ya majini na operesheni za usalama wa baharini katika Ghuba ya Uajemi. Hatua hiyo imekuja baada ya hali ya usalama wa eneo hilo kuwa mbaya kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya meli katika pwani za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako