• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa jeshi la Iran asema nchi hiyo iko tayari kujilinda

    (GMT+08:00) 2019-05-20 08:44:59

    Kamanda mkuu wa jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hussein Salami amesema nchi hiyo haitaki vita, lakini pia iko tayari kujilinda. Amesema Marekani inapenda kuingilia kati masuala ya ndani ya nchi nyingine, na kwamba badala ya kuimarisha umwamba wake duniani, hatua hizo zitaifanya nchi hiyo kuwa na maadui zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako