• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali yaweka mikakati ya kuimarisha kilimo

    (GMT+08:00) 2019-05-20 18:55:02
    Serikali imesema itafanya mambo tisa mwaka ujao ili kuimarisha sekta ya klilimo nchini Tanzania. Lengo kuu likiwa kubadilisha kilimo kutoka kuwa cha kujikimu na kuwa cha biashara. Imeelezwa kwamba mikakati hiyo iliyowekwa na wizara ya Kilimo kwa mwaka ujao wa fedha, imewekwa kwa kuzingatia malengo ya kitaifa katika kufikia kipato cha kati, kama ilivyoainishwa kwenye dira ya taifa ya maendeleo ya mwaka wa 2025.

    Kulingana na waziri wa Kilimo Tanzania Bwana Japheth Hasunga, Wizara hiyo ilitoa ajira kwa watanzania kwa asilimia 65.5 mwaka wa 2017. Hii ilichangia asilimia 28.7 ya pato la taifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako