• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Ulaya unajiandaa na Brexit isiyo na makubaliano

    (GMT+08:00) 2019-05-21 09:06:40

    Mkuu wa majadiliano ya Brexit ya Umoja wa Ulaya Michel Barnier amesema Umoja huo unajiandaa na hali mbaya zaidi ya Brexit, yaani Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya bila ya makubaliano yoyote. Barnier amesema Umoja huo umetoa machaguo yote kwa Uingereza kutoka Soko la pamoja hadi Umoja wa Forodha ama Makubaliano ya Biashara Huria, na sasa unasubiri jibu wazi kutoka Uingereza. Bunge la Uingereza lenye mpasuko liko tayari kupiga kura kuhusu muswada mpya wa sheria kuhusu Brexit.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako