• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kampuni ya Huawei ya China ina uwezo wa kutosha wa kutumia vizuri mfumo wa Android

  (GMT+08:00) 2019-05-21 09:55:39

  Kampuni ya Huawei ya China imesema, ina uwezo wa kutosha kuendelea kuendeleza na kutumia mfumo wa Android, na kuhakikisha bidhaa na huduma zake haziathiriwi katika soko la China.

  Kauli hiyo ya Huawei imetolewa baada ya kampuni ya Google ya Marekani kutangaza kuwa itafuta leseni ya Android kwa kampuni ya simu za mkononi ya Huawei ya China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako