• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini kufunga afisi 39 za balozi kwa kukosa fedha za kuzisimamia

    (GMT+08:00) 2019-05-21 19:52:29
    Serikali ya Sudan Kusini ina mpango wakufunga afisi 39 za mataifa mengi kwa sababu ya hali mbaya ya fedha nchi inakabiliwa nayo.

    Mawien Makol, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje, amesema Juba imeona vigumu kusimamia baadhi ya afisi za balozi nje ya nchi.

    uamuzi wa kufungwa kwa afisi hizo utafanyika hivi karibuni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako