• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda inataji kuangalia ni fedha ngapi wanalipa kwa madeni yao

    (GMT+08:00) 2019-05-21 19:52:47
    Ripoti ya nchi ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha la Dunia (IMF) juu ya Uganda inaangalia deni la umma na jinsi serikali inavyoendelea na kutumia Bajeti yake ya kila mwaka.

    IMF imepata deni la Uganda imebakia viwango ambavyo vinaweza kushughulikiwa (asilimia 41 ya Pato la Taifa), ingawa malipo ya riba yanachukua sehemu ya ongezeko la mapato ya serikali.

    Ripoti pia inasema kuwa Bajeti ya kila mwaka hutoa mwongozo mdogo sana kwa matumizi ya serikali na kukopa.

    Matumizi ya maendeleo yanapungukiwa na mipango ya bajeti, wakati matumizi ya sasa yanazidi malengo ya awali, kwa hivyo inahitaji bajeti ya zaidi ili kuidhinisha matumizi ya ziada.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako