• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • GOFU: Mtanzania anyakua ubingwa wa Afrika Mashariki na kati

  (GMT+08:00) 2019-05-22 08:16:12
  Mwanadada mtanzania Angel Eaton ndiye bingwa wa gofu Afrika mashariki na kati mwaka huu katika michuano ya gofu ya wanawake iliyomalizika nchini Malawi, malkia huyo wa gofu sasa amefikisha jumla ya tuzo na makombe 34.

  Angel ambaye kituo chake cha michezo ni Lugalo jijini Dar es Salaam, amesema haikuwa rahisi kutwaa ubingwa huo kwani alikutana na wachezaji wengine bora kutoka nchi za Afrika mashariki na kati.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako