• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Riadha: Mwanariadha wa kike wa Kenya aweka wazi hawezi kupunguza homoni za kiume

  (GMT+08:00) 2019-05-22 08:17:38
  Bingwa wa mbio za mita 800 nchini Kenya kwa upande wa akina dada Margaret Nyairera Wambui amesema hatotumia dawa za kupunguza homoni za kiume ili kushiriki katika mbio hizo.

  mwanariadha huyo amesema kuwa dawa hizo zina kemikali ambazo huenda zikaleta athari katika maisha ya baadaye.

  Mwanadada huyo ni miongoni mwa wanariadha walioathiriwa na sheria mpya ya shirikisho la riadha duniani IAAF inayowataka wanawake walio na viwango vya juu vya homoni za kiume kutumia dawa ili kuzipunguza mwilini na kusisitiza kuwa sheria hiyo ni nzuri katika kuleta usawa katika mashindano.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako