• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KIKAPU: Golden State Warriors yaifagia Blazers, kucheza fainali ya tano NBA

  (GMT+08:00) 2019-05-22 08:18:17
  "Wameshindikana ama hawakamatiki" ndivyo unavyoweza kusema ukiizungumzia Golden State Warriors baada ya kuifagia Portland Trail Blazers katika mchezo wa nne alfajiri ya jana.

  Warriors baada ya kushinda mechi tatu za mwanzo, imeibuka na ushindi wa mbinde mwishono kabisa mwa mchezo huo ambapo chini ya dakika walifungana kwa idadi ya alama 111-111 na kuwamaliza wapinzani wao kwa ushindi wa 119-117.

  Nyota Draymond Green na Stephen Curry wamefanikiwa kufunga triple double, na kuipeleka Warriors kucheza fainali wakisubiri mashindi toka ukanda wa magharibi kati ya Milwaukee Bucks au Toronto Raptors.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako