• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Balozi wa China asisitiza kutekeleza mpango wa kutatua suala la Libya kwa njia ya kisiasa

    (GMT+08:00) 2019-05-22 09:13:40

    Balozi wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa Bw. Ma Zhaoxu amesisitiza kutekeleza mpango wa kutatua suala la Libya kwa njia ya kisiasa.

    Balozi Ma amesema China siku zote inaamini kuwa suala la Libya lazima litatuliwe kwa njia za kisiasa, na anatarajia kwamba pande zote zinazopambana nchini Libya zitatanguliza maslahi ya nchi na watu. Pia zitatekeleza wito wa jumuiya ya kimataifa kwa kusitisha mapambano haraka iwezekanavyo, kutuliza hali ya wasiwasi na kurudi kwenye njia ya kutatua mgogoro kupitia mazungumzo ya amani na mashauriano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako