• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China asisitiza umuhimu wa elimu ya wanajeshi kwa ajili ya ujenzi wa jeshi lenye nguvu

  (GMT+08:00) 2019-05-22 09:58:41

  Rais Xi Jinping wa China amesisitiza umuhimu wa kuongeza elimu ya maofisa wa kijeshi kwa ajili ya kujenga jeshi lenye nguvu. Akifanya ukaguzi kwenye Chuo cha Askari wa Miguu cha Jeshi la Ukombozi wa Watu la China, rais Xi amesema elimu ya kijeshi inatakiwa kuendana na mahitaji ya vita, jeshi na operesheni za siku za baadaye. Amewataka wataalamu wa kijeshi wawe na msingi imara wa kijeshi, kuweka bayana mwelekeo wao, kuimarisha mageuzi na kuinua ubora wa elimu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako