• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Sevilla yaipongeza Simba kutwaa Ubingwa, leo nyasi kuwaka moto uwanja wa taifa

  (GMT+08:00) 2019-05-23 08:58:12
  "Pongezi mabingwa" ni maneno ya rais wa klabu ya Sevilla ya Uhispania Jose Castro, ambayo iko nchini Tanzania kwa mchezo mmoja wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya mabingwa wa ligi kuu ya nchi hiyo Simba Sports Club, mchezo unaopigwa leo katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.

  Naye Mwenyekiti wa bodi ya Simba, Mohamed Dewji amewapongeza benchi la ufundi, viongozi, wachezaji na mashabiki wa timu hiyo kwa ushirikiano hatimaye kufanikiwa kutetea ubingwa.

  Dewji pia amesema klabu hiyo itakwenda Ureno ama Marekani kujiandaa kwa msimu ujao ili kuendelea kufanya vizuri.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako