• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la mpito la kijeshi la Sudan lauhimiza upinzani kufanikisha makabidhiano ya madaraka

    (GMT+08:00) 2019-05-23 08:59:03

    Naibu mwenyekiti wa Baraza la Mpito la Kijeshi nchini Sudan TMC Bw. Mohamed Hamdan Daqlu jana alitoa wito kwa makundi ya upinzani kumaliza tofauti zao na kuhimiza mchakato wa kukabidhi madaraka kwa utawala wa kiraia.

    Amesema Baraza hilo linaahidi kukabidhi madaraka kwa raia kama pande hizo mbili zitafikia makubaliano kuhusu masuala ambayo hayajatatuliwa kwenye mazungumzo yanayoendelea.

    Bw. Daqlu pia ameshutumu makundi makuu ya upinzani kwa kukataa kukabidhi uongozi wa baraza la mamlaka kwa jeshi la Sudan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako