• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zimbabwe yataka kujiunga na APRM

    (GMT+08:00) 2019-05-23 09:15:02

    Mkurugenzi mkuu wa Mpango wa Afrika wa Kujitathmini Kiutawala Bora Bw. Edward Maloka ambaye yuko ziarani nchini Zimbabwe, amesema, nchi hiyo ina nia ya kuwa nchi mwanachama wa shirika lake.

    Amesema rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ameeleza hamu kubwa ya nchi yake kujiunga na shirika hilo ambalo nchi wanachama wake zinanufaishana kwa uzoefu wao katika namna ya kuboresha mambo ya utawala.

    Habari nyingine zinasema, rais Mnangagwa amekubali ombi la wabunge wa chama tawala cha ZANU-PF la kukutana naye ili kujadili mambo yanayoathiri majimbo yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako