• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kiongozi wa baraza la chini la Uingereza ajiuzulu

  (GMT+08:00) 2019-05-23 10:48:40

  Kiongozi wa baraza la chini la Uingereza Andrea Leadsom amejiuzulu kutokana na kutoridhika zaidi na uongozi wa waziri mkuu, siku moja baada ya waziri mkuu Theresa May kupendekeza makubaliano mapya ya Brexit. Amesema haamini kuwa Uingereza itakuwa nchi yenye mamlaka halisi kwa mujibu wa makubaliano hayo, na kuongeza kuwa kura za maoni za mara ya pili zitazusha mpasuko, na hakubali serikali kujirudi nyuma.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako