• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shirika la umeme la Zimbabwe latafuta kushirikiana na Zimbabwe na Zambia

    (GMT+08:00) 2019-05-23 19:24:22

    Shirika la umeme la Bwawa la Kabora Bassa la Msumbiji limezipa fursa Zimbabwe na Zambia ya kununua umeme na kuahidi kuwapunguzia zaidi gharama kwenye bwawa lao la Kariba.

    Bwawa la Kabora Bassa limekuwa likifurika kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga, na mamlaka nchini Msumbiji zimezichagua Zambia na Zimbabwe ambazo ziko katika sehemu ya mwanzo ya mto Zambezi, kuhodhi maji ili kulinda miundo mbinu ya Kabora Bassa.

    Mashirika ya umeme ya Zambia na Zimbabwe yamesema yatafanya mazungumzo na idara zao za usambazaji wa umeme, ili kujua wanaweza kunufaika vipi bila kuwa na gharama zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako