• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mwakilishi mkazi mpya wa UNDP awasili Somalia

  (GMT+08:00) 2019-05-24 09:25:16

  Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) jana limempokea mwakilishi mkazi mpya nchini Somalia Bw. Jocelyn Mason mjini Mogadishu.

  Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo imesema, Bw. Mason ataongoza ofisi ya Somalia katika miradi mbalibali muhimu ya maendeleo ambayo itaisaidia serikali ya Somalia na watu wake kutimiza vipaumbele vya maendeleo ya nchi hiyo, na kukabiliana na kujenga ustahimili wa ukame na hali mbaya ya hewa.

  Bw. Mason amechukua wadhifa huo nchini Somalia akitokea ofisi ya Shirika hilo nchini Afghanistan.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako