• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Afrika Kusini iko tayari kukaribisha viongozi wa nchi mbalimbali kushuhudia hafla ya kuapishwa kwa rais

  (GMT+08:00) 2019-05-24 09:25:39

  Waziri wa polisi wa Afrika Kusini Bheki Cele jana amesema, maandalizi yote ya kuapishwa kwa rais Cyril Ramaphosa yamekamilika, huku usalama katika eneo ambalo hafla hiyo itafanyika Jumamosi mjini Pretoria umeimarishwa.

  Bw. Cele amesema polisi zaidi 2,500 watapelekwa kuzunguka uwanja wa Loftus Versfeld ambapo hafla hiyo itafanyika. Amesema viongozi 40 wa nchi mbalimbali na watu karibu 34,000 wanatarajiwa kuhudhuria hafla hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako