• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RIADHA: Kiplimo afuata hatua za Kipsiro, afanya kweli

  (GMT+08:00) 2019-05-24 09:28:25

  Mwanariadha chipukizi wa Uganda Jacob Kiplimo amekuwa na wiki nzuri baada ya kupeperusha vyema bendera ya nchi hiyo katika mashindano ya riadha ya Manchester.

  Kiplimo ameshinda mbio za kilomita 10 akitumia dakika 27:31 huku akifuata nyayo za mwanariadha wa nchini humo aliyekuwa bingwa wa mashindano hayo mwaka 2013.

  Kiplimo sasa anajiandaa kwa mashindano ya riadha ya dunia yatakayofanyika mjini Doha mwezi ujao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako