• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RAGA: Shujaa wajiandaa kwa michuano ya London

  (GMT+08:00) 2019-05-24 09:29:01

  Timu ya taifa ya raga ya wachezaji saba kila upande ya Kenya almaarufu Shujaa, imeimarisha mazoezi yake kabla ya kuanza kampeni ya kutafuta alama kwenye michuano ya raga yatakayopigwa jijini London Uingereza kuanzia kesho Mei 25 na 26.

  Shujaa inashikilia nafasi ya 13 kwa alama 26, alama nne pekee kutoka nafasi ya 15 ambayo Japan inakodolea macho kushushwa ngazi

  Katika mchezo wa kesho, Kenya itavaana na Fiji, Samoa na Ufaransa kwenye mechi za kundi B.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako