• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kocha wa timu ya taifa ya DRC aita wachezaji 32 kikosini, kujiandaa na AFCON 2019

  (GMT+08:00) 2019-05-24 09:29:18

  Kocha mkuu wa timu ya taifa ya DRC (The Leopards) Florent Ibenge amewaita wachezaji 32 wa mwanzo kabla ya mchujo na kubaki na wachezaji 23 watakaowakilisha timu hiyo kwenye michuano ya mataifa ya Afrika (AFCON 2019) yatakayofanyika kuanzia Juni 21 nchini Misri.

  Katika maandalizi ya mashindano hayo, Leopards watacheza mechi za kirafiki na Burkina Faso Juni 9 na Kenya Juni 15. DRC ipo kundi A na itaumana na Uganda Juni 22, kisha itacheza na wenyeji Misri Juni 26 kabla ya kumalizana na Zimbabwe Juni 30.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako